SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Korona ipi hiyo?Duh lakini ni kipindi cha korona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Korona ipi hiyo?Duh lakini ni kipindi cha korona
Akijibu nitag 😂Kama historia inafanya kazi basi pia mkumbuke galaxy aliwakanda hapo taifa
Muulize manulaKorona ipi hiyo?
KumbeNimekubali majini hayavuki bahari wala kupanda ndege.
Charles kilian hyo rekodi yenu hapo chini haijawahi vunjwa...
Sa hivi tuna Ayoub Lakred....Muulize manulaView attachment 2921789
Sasa ndo unapoozea uchungu wako? Hao wote kwa sasa wanaiheshimu Simba..View attachment 2921790
Unasemaje
Hiiio ndooo keeeeshooo,oooohhhh,oooohhh hiii nio keshooo🤓Wenzetu walikulaga Makofi Ya Nyani 😂View attachment 2921782
Duh nimelia sana 😭😭😭😭😭😭🤣🤣😭😭😭Charles kilian hyo rekodi yenu hapo chini haijawahi vunjwa...
Na bado tukaongoza GroupView attachment 2921790
Unasemaje
Vifuatavyo ni vitu ambavyo vinanunuliwa kwa siri...Na bado tukaongoza Group
Unadhani kanuni inafanya kazi usiposhinda? Fungweni kesho wenzenu washinde uone hiyo kanuni kama itakubebaWale mliowafanyia shirki juzi mkawafunga 4 na nyie nyote mna pointi 8, mmeenda kwa kanuni sio vinginevyo malofa nyie.
Walikuwa wanakimbia kimbia kama wanakimbiza kukuWachezaji wanaojituma wamecheza kama hawana kocha vile.
Hiyo ndiyo shida ya kujituma, yaani walikuwa wanaokimbia kama ngedere wanaovizia mahindi shambani pasipo 😂