Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Kumbe huwa mnapenda Yanga acheze kama alivyocheza dhidi yenu nov 5 eehWalikuwa wanakimbia kimbia kama wanakimbiza kuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe huwa mnapenda Yanga acheze kama alivyocheza dhidi yenu nov 5 eehWalikuwa wanakimbia kimbia kama wanakimbiza kuku
Ni kweli hiyo sio loosers cup maana kule loosers cup Yanga hakuwahi kumfunga mtu goli 4. Halafu mnapiga kelele wakati Yanga imeshafuzu tokea wiki iliyopita.Maji na mafuta yanajitnga... Hii sio losers cup...
Chura ana mpira gani sasa kimataifa zaidi kukimbia kimbia tu uwanjani.Kumbe huwa mnapenda Yanga acheze kama alivyocheza dhidi yenu nov 5 eeh
Unaona hasara ya kukataa Maombi? Haya sasaHatutaki maombi yako yetu yanatosha ombea timu yako ambayo haijafuzu mpaka sasa ishinde kesho
Unaona hasara ya kukataa Maombi? Haya sasa
Vipi lile chaka lenu la robo fainali chura kafuzu au hakufuzu?Chura ana mpira gani sasa kimataifa zaidi kukimbia kimbia tu uwanjani.
kuruthumuYanga akifungwa niiteni Kuruthumu.
Ni suala la kukumbushana tuView attachment 2921790
Unasemaje
Dah! Jana nilikuwa busy sana Comrade. Kiukweli sikuangalia hii mechi. Na ukichukulia tulishafuzu! Ndiyo kabisaa!!
Kipindi cha corona timu za waarabu zilikua unga,ongoza kundi sasa hivi pa1 na maspray yenu pale taifa kama mna ubavuNa bado tukaongoza Group
lla wakati ule Simba Sc inafika robo fainali huku nyinyi mkitolewa hatua za awali kila mara, hicho hakikuwa kigezo cha kuitambua Simba Sc kama team kubwa sio?Ukubwa wa timu sio kumfunga fulani au kumsumbua fulani bali kuvuka hatua ya mbele zaidi. Yanga itahesabika ni wakubwa kama itacheza fainali au nusu fainali.
Kwamba Corona ilikuwa kwa waarabu tu sio? Hii juzi hapa tulipotoka 1-1 nyumbani kwa Ahly tena yeye ndo akiwa msawazishaji, kulikuwa na Corona pia?Kipindi cha corona timu za waarabu zilikua unga,ongoza kundi sasa hivi pa1 na maspray yenu pale taifa kama mna ubavu
Kwamba Corona ilikuwa kwa waarabu tu sio? Hii juzi hapa tulipotoka 1-1 nyumbani kwa Ahly tena yeye ndo akiwa msawazishaji, kulikuwa na Corona pia?
Wewe na team yako mbona hamkusaidiwa na hiyo Corona?
Kama robo fainali ndiyo mwisho wenu basi hamna ukubwa, ukubwa watapewa wanafika fainali na wanaobeba makombe.U
lla wakati ule Simba Sc inafika robo fainali huku nyinyi mkitolewa hatua za awali kila mara, hicho hakikuwa kigezo cha kuitambua Simba Sc kama team kubwa sio?
Kwahiyo baada ya hapo Al Ahly akatoka nyie mkafuzu Kwenye mechi tuliona wote Al Ahly akiamua kutafuta goli hata hachelewi analipata. Mechi ya Dar mlivyoongoza tu, haikuchukua hata dakika 10 waka level. Huku Misri pia baada ya kupata goli nako hivyo hivyo hamjadumu nalo hata kidogo wakapata goli.Kwamba Corona ilikuwa kwa waarabu tu sio? Hii juzi hapa tulipotoka 1-1 nyumbani kwa Ahly tena yeye ndo akiwa msawazishaji, kulikuwa na Corona pia?
Wewe na team yako mbona hamkusaidiwa na hiyo Corona?
Ushuzi wa bata weTimu nzima ina Mtanganyika mmoja tu! Bora hata ilivyofungwa.
Acha ujinga ile mechi hatukuwa na presha nayo tulienda kufanya mazoeziNimeangalia takwimu... umiliki wa mpira 38% wa Uto dhidi ya 62% na pasi 300+ dhidi ya 600+ za Al Ahly.... tumeaibishwa sana ...
Siku wakigoma mtawachezesha wale Princess.Ushuzi wa bata we
Visingizio vya kijinga. Uongozi wa Uto na Manager Gamondi walisema nini kabla ya mechi? Au wewe ndiye uliyeamua kuifanyisha mazoezi timu na siyo kutafuta ushindi ili muongoze kundi lenu?Acha ujinga ile mechi hatukuwa na presha nayo tulienda kufanya mazoezi