FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

We ndo boya hiyo level Simba atafika lini? Kama sio sasa??
We unataka ubishi tuu, simba ina wachezaji gani ? Wa quality ya alhaly, refer Tpmazembe iliyokuwa inachukuwa ubingwa kwa kuwapiga hawa alhaly walikuwa na wachezaji wa aina gani, wachezaji mnaokota wenzenu wanakuza, usajili wa timu za Tanzania kama kamari wakati wenzenu wanchukuwa mtu aliekwisha deliver refer usajili wa alhaly kwa Ali maalol 2016 na luis miq angalia usajili wa mamelord kwa alende.
 
Hii umeniita baada au kabla ya matokeo??? Sisis ndo Simbaa Alhyl kakaaaa...sema kanuni zimembeba....
Any way so far sisis ndo wawakilishi wenu mje kutupokea uwanja wa ndege
Kanuni hizi hizi ndizo zilizowabebz dhidi ya Power Dynamos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…