FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

Utalia sana kipigo kipo palepale
 
Lia , lia piga kelele kwa nguvu wasikie ila 5 zipo palepale
 
Mechi hii ikiisha nguvu zangu nitaziweka siku ya mechi ya Vilaza FC na hawa miamba...yani nitacheeeka mnooo..maana hawana timu ya kumtoa huyu...
Yes, mechi hii itaisha, lakini nakukumbusha yafuatayo kwa Kiarabu;
1. Moja = Wahid
2. Mbili = aithnayn
3. Tatu = thalatha
4. Nne = 'arbaea
5. Tano = Khamsa
6. Sita = sita
7. Saba = sabea
8. Nane = thamania
9. Tisa = tise
10. Kumi = eashra

Hii mechi itakuwa tamu sana kuisikiliza kwenye chanel ya kiarabu
 
Sijakukataza, umenishangaza dume zima na kengele zako unabonga juu ya njemba nyingine kutwa nzima
Hivi unajua tukifata sheria yako hata haya maeneno yako unayonitolea utaonekana unaniongelea mimi?

Na hoja kuhusu kengele ita bounce back to you na mwisho wa siku utaonekana snitch?
 
AYOUB AU ALLY SALUM NDIO WA KUDAKA MECHI NA ALHALY KWELI????

TUWENI SERIOU WANASIMBA WENZANGU.

Hata akina Inonga, chama, Ngoma KIBU inawakatisha Tamaa.

UNA ZAIDI YA B8 ZA SUPER LEAGUE.
UNAENDA KUSAJILI AYUBU
 
Mpigwe tuuu
 
Kufungwa 5 na timu kubwa kama Alhy ni kawaida, hata yanga alishafungwa 5 bila na timu kubwa ya Simba

NB:ukibisha naweka video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…