changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Goli la ugenini lipo kama kawaida ya mashindano ya CAF ngazi ya vilabuNa hakuna goli la ugenini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli la ugenini lipo kama kawaida ya mashindano ya CAF ngazi ya vilabuNa hakuna goli la ugenini
Utalia sana kipigo kipo palepaleNitakuja na Uzi uongozi WA Simba Unavyozingua kwenye usajili...
MANULA AMEUMIA UNAENDA KULETA AYOUB MDAKAMIPANZI NA KUMUACHA KAKOLANYA BILA SABABU ZA MSINGI.
ALLY SALUM WA NINI NDANI YA SIMBA!!!!!!!!????
Mashabiki ACHENI kuwa wapumbavu uongozi unazingua usajili NYIE mnashangilia tu.
PUMBAVU KABISA.
Lia , lia piga kelele kwa nguvu wasikie ila 5 zipo palepaleACHENI KUJIFARIJI NA MAMBO YA KIPUMBAFU.
HWEZI UKAENDA VITANI NA GOBOLE MWENZIO ANA KIFARU.
SHAME.
SIMBA LAZIMA AFUNGWE KWA SABABU YA KUSAJILI WACHEZAJI MIZIGO.
1. AYOUB Lakred.
2. ESOMBA ONANA.
3. MOSES PHIRI.
4. AUBIN KRAMO.
Hawa wanafanya kazi KUBWA Sana lakini hawana mchango.
5. SAIDO NTIBAZONKIZA.
6. SADIO KANUTE.
Mi sibetigiMimi naweka Al Ahly wewe weka Simba saa 7pm tutajua nani kaliwa
Yes, mechi hii itaisha, lakini nakukumbusha yafuatayo kwa Kiarabu;Mechi hii ikiisha nguvu zangu nitaziweka siku ya mechi ya Vilaza FC na hawa miamba...yani nitacheeeka mnooo..maana hawana timu ya kumtoa huyu...
Hivi unajua tukifata sheria yako hata haya maeneno yako unayonitolea utaonekana unaniongelea mimi?Sijakukataza, umenishangaza dume zima na kengele zako unabonga juu ya njemba nyingine kutwa nzima
Yap nimechelewa kuipata hiiGoli la ugenini lipo kama kawaida ya mashindano ya CAF ngazi ya vilabuView attachment 2791223
Unateseka ukiwa wapi?
Wewe unayo hiyo timu ya kumtoa?Mechi hii ikiisha nguvu zangu nitaziweka siku ya mechi ya Vilaza FC na hawa miamba...yani nitacheeeka mnooo..maana hawana timu ya kumtoa huyu...
Waliosajili ni wao na pesa nizakwao.wewe kinachokutesa ni nini hasa?ACHA UTOTO.
BILIONI 8.5
Za super cup unakwenda KUMSAJILI Ayoub MDAKA panzi.
NYIE NDIO MASHABIKI MBUMBUMBU MSIO NA AKILI
Leo unawasaliti ndugu zako Waarabu!!SIMBA 5
Al ahly 0
Aden Rageeeeeeee...[emoji23]ACHA UTOTO.
BILIONI 8.5
Za super cup unakwenda KUMSAJILI Ayoub MDAKA panzi.
NYIE NDIO MASHABIKI MBUMBUMBU MSIO NA AKILI
Mpigwe tuuuView attachment 2790738
Haijakamilika Mpaka ikamilike.
Leo 24.10.2023 Muda wa saa 11 jioni kwa saa za Africa Mashariki.
Itapigwa Match ya marudiano kati ya hawa mabingwa wa Africa.
Ni Al Ahly ya Misri dhidi ya Simba ya Tanzania.
Ikumbukwe kwenye 1st Leg Iliyopigwa Dar es Salaam 20.10.2023. Timu hizi zilitoka sare ya 2-2.
Tukutane Baadae.
Simba, Nguvu Moja.
Kila la heri Mnyama.
#Nguvumoja#
Kufungwa 5 na timu kubwa kama Alhy ni kawaida, hata yanga alishafungwa 5 bila na timu kubwa ya SimbaLeo ndio mwisho wa ngebe za Simba kujisifia kucheza ligi za madume ya mamba kama Al Ahly na Wydad!
Yaani eti mi nifungue maduka Buza kwa Mpalanger halafu eti nije nijilinganishe utajiri na Bakhressa sijui Rostam wapi na wapi!?
Kiwango Cha Mchezaji mmoja wa Al Ahly ni sawa ukusanye Chama, Saidoo, Baleke, Mzamiru, Kanoute na Ngoma! Tuliona kwa Mkapa Al Ahly walicheza kwa akili tu wakitengeneza nafasi nyingi za kufunga uchawi ukaepusha aibu mbele ya Rais wa Fifa na Wenger huku wenzao kina Kibu wakitumia maguvu na kurukaruka tu bila akili Wala mipango ya kufunga!
Mshahara wa mchezaji mmoja tu wa Al Ahly sawasawa ujumlishe mishahara kumi ya wachezaji wa Simba!
Baada ya Simba kukandwa 5G huko Misri Leo, kifuatacho usiku wa Leo itakuwa ni mgogoro mkubwa utakaozuka Msimbazi na mashabiki kudai kuwa wamegundua Simba ni msindikizaji tu ligi zote na wapo wataolianzisha kuwa kocha hafai na huku mazuzu mbumbumbu wengine wakimtetea!
Ila inajulikana tangu mwanzo mechi za Simba ni mbili tu super cup na Leo wataumaliza mwendo na kubeba kombe la kufa kiume!
Hatutaki lawama mshangao wala makelele ya kuonewa huko Misri wakati msuli wenyewe kiduchu!
Kwenye msafara wa Mamba kenge pia huwa wamo! Leo itathibitika maana ya msemo huu na Simba itarudi kwenye mavumbi yake ya siku zote, hakuna kombe lolote kwa msimu wa tatu, ikumbukwe ngao ya jamii ni mbao tu sio kombe la ligi!
Simba ni underdog yenye makelele makubwa!
Naitakia Al Ahly ushindi wa 5G dhidi ya Simba ili mji utulie kimyaaaa!
Aziz Kiiiiiiiii!! Gooooooool! Goli la tatu! Ni hat trick ya kihistoria, hat trick ya derby ya Dar-es-salaam!
Waliosajili ni wao na pesa nizakwao.wewe kinachokutesa ni nini hasa?