Tulia Kolo , kolo unapata wapi muda wa kuwa na furaha timu lenyewe bovu halina matumaini na kombe lolote ?Mmeanzaaaa!!! ππππ
Anafakamia urojo? ππ€£Yuko kambini michenzani, πππππ
Mijibwa ipi...ndio jamaa mwenye blichi ...mmefanyia mipango apewe tuzo za MVP na golden boot huku mmemdhulumu Masta wa boli JCAKipindi cha pili kocha fungulia mijibwa, kama mbwai na iwe mbwai
Mkeka umetiki.FT : AL Ahly 2οΈβ£ - 0οΈβ£ Young African
DuuhhFT : AL Ahly 2οΈβ£ - 0οΈβ£ Young African
Hahaha kama huyo nzige kaona anazingua akacheze yeyeMmeanzaaaa!!! ππππ
πππππ, sasa unalia nini??Tulia Kolo , kolo unapata wapi muda wa kuwa na furaha timu lenyewe bovu halina matumaini na kombe lolote ?
Kwani bacca na pakome hawakuwepo leo??Hahaha kama huyo nzige kaona anazingua akacheze yeye
Nawajulia wapi sasaπKwani bacca na pakome hawakuwepo leo??
πππππ mmeanzaa kumsakama mtumishi wa watu.Max anaigharim sana timu na mikurupuko yake, sehem ya inayohitaji calmness and shot, yeye anapiga kuua kipa, chandim shot styleπ€£π
Hii tunavuka , Kolo aliwahi kugongwa Kono la nyani na As Vita na Al Ahly lakini akavuka makundi sasa Yanga kamechi kamoja tu away presha tutoe wapi ?πππππ, sasa unalia nini??
Poleeee wee. Woiiiiiih
Sasa nani kakuambia kuhusu kuvuka au kutovuka??Hii tunavuka , Kolo aliwahi kugongwa Kono la nyani na As Vita na Al Ahly lakini akavuka makundi sasa Yanga kamechi kamoja tu away presha tutoe wapi ?
Yeah, wamesha ulamba πππDuuhh