π πSisi Yanga tuseme Nini wakati tuna tu point 4 wala hatuna beki kama kibabage, striker kama Mutale wala mchezaji mzuri kama Bajaj wa simbaMkuu inamana hujalijua tu ni lipi analolimaanisha?
π€£π€£π€£ Sifuri maana yake hakuna kitu.πΆπΆπΆ
Mawardat mi naimba tu mwaya.ππ
π€£π€£π€£π πSisi Yanga tuseme Nini wakati tuna tu point 4 wala hatuna beki kama kibabage, striker kama Mutale wala mchezaji mzuri kama Bajaj wa simba
Mijibwa ipi...ndio jamaa mwenye blichi ...mmefanyia mipango apewe tuzo za MVP na golden boot huku mmemdhulumu Masta wa boli JCAitakua Ahoua alikupiga plumb* sio kwa ujinga huo
Hahaha,hiyo nyimbo kama ya janaπ€£,,sifuri.Mkuu inamana hujalijua tu ni lipi analolimaanisha?
π€£π€£π€£ Sifuri maana yake hakuna kitu.πΆπΆπΆ
Mawardat mi naimba tu mwaya.ππ
Hahaha,Leo tutashindaπ€£,lazima tufunge hata Moja,hata kama tutafungwa lazima turudisheππππHahahaa. Potelea pote.
Ila leo mnashinda bana. π
Karibu tuungane kuishangilia Simba jioni hiiAhsante Mkuu mimi Alhamdulillah. Sijui wewe?
Haya maji yetu tushayanywa bado nyie. π€£π€£
Hahahaaa. Kwa kweeeli ni lazima mtarudisha. π€£π€£Hahaha,Leo tutashindaπ€£,lazima tufunge hata Moja,hata kama tutafungwa lazima turudisheππππ
Nitakuwepo Mtani. Ahsante.Karibu tuungane kuishangilia Simba jioni hii
Hahaha,hiyo nyimbo kama ya janaπ€£,,sifuri.
Hahahahah,usinicheke TUπ,,,tayari nimejiandaa kisaikolojia hapaπHahahaaa. Kwa kweeeli ni lazima mtarudisha. π€£π€£
Tena leo nimeshapika hivyo ntakuwepo mwaya tushangilie pamoja. Teh.
πππ,jamani Jana nilifrahiπππ
Acha kabisa mie jana ikabidi niseme tu tutawafunga wakija TZ. ππHahahahah,usinicheke TUπ,,,tayari nimejiandaa kisaikolojia hapaπ
Kufungwa kusikie Kwa jiraniπ
Hahahaaa. Leo zamu yangu. ππππ,jamani Jana nilifrahiπππ
πππ,tutafunga.Hahahaaa. Leo zamu yangu. π
Bado mapema,tutarudishaπAcha kabisa mie jana ikabidi niseme tu tutawafunga wakija TZ. ππ
Ila leo ushindi mnao. π€ͺπ€ͺ
Hahahahaaa. Lol.πππ,tutafunga.
Ok! Mie nipo leo ujue.Bado mapema,tutarudishaπ