FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Live hapa;

Ninaona kama Yanga amefungashiwa virago mapema sana, hasa baada ya kukubali kutoka sare kwenye uwanja wa nyumbani itakuwa ni vigvumu sana kushindia uwanja wa ugenini.
 
Taifa linahitaji wawakilishi hata kwenye lile kombe la mbuzi kule shirikisho, wajitahidi wafuzu huko nao watapongezwa na Rais.
 
Hiki ndicho kikosi ambacho nilikipendekeza! Imagine hakuna badiliko hata moja.

Hivyo iwapo kitafungwa, basi nitayapokea matokeo kwa mikono miwili 🙏

Na kamwe asitafutwe mchawi.
 
Baada ya mechi

1. "Tumecheza mpira mwingi tumetengeneza nafasi nyingi ila ndio hivyo bahati haikuwa yetu"

2. "Mpira una matokeo matatu lazima tukubali kuwa tumepoteza na sasa nguvu zetu tunahamishia shirikisho"

3. Ni kawaida maana ukiangalia hata kwenye swala la umiliki wa mpira sisi tuliongoza kwa asilimia kubwa ila makosa madogo tuliyoyafanyanwenzetu wakayatumia na kujipatia mabao yaliyowapelekea kuoata ushindi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…