FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Naomba mwenye kufahamu kama DSTV wataonyesha hii match na channel ipi anisaidie
 
Ulitaka uanzishe wewe mkuu??
Sijawahi kuanzisha uzi wa rasmi wa mechi na sina mpango huo coz siwezi kutoa updates ontime na kuutendea haki kama inavyotakiwa..
 
Djuma shabani anajaza mtungi paleeeeee unakuwa nini.......gooooooooooooooooooooo........ni yule yule Fiston kalala Mayele anatetema nyuma ya bukta za Al hilal anawaandikia wananchi bao la kuongoza ni dakika ya 14 kipindi Cha kwanza.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…