Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuanzisha uzi wa rasmi wa mechi na sina mpango huo coz siwezi kutoa updates ontime na kuutendea haki kama inavyotakiwa..Ulitaka uanzishe wewe mkuu??
Uzi upo umekaa kikolowizard hauana hata kapicha cha kuzugia ...Wivu umekujaa wewe mtoto.
OkWeka picha, hakuna aliyekuzuia.
Hata Mimi nimemshangaa..Mbna mapema hiv mkuu kulikoni ??
Ni kweli kabisa, kuna kijana wa hovyo,shabiki wa Simba amekimbilia kuanzisha uzi wa kimagumashi huku.Huu uzi hauna hadhi ya kuwa uzi rasmi wa mechi ..
CAF na Karia wana hujuma na Yanga,kwanini mechi ya kwanza wameweka ya Simba saa kumi jioni alafu Yanga yetu saa tatu usiku?,huku ni kupanga matokeo.Yanga tukifungwa na Al hilal Simba nao wakishinda tunaenda kumuona Rais,Yanga tunaonewa na kunyanyaswa sana.
Mungu mbariki mzee Mpili na Mandonga[emoji120]
kwa east Africa huku itakua saa tatu mida ya ndo mida ya watu kipigwa miti huko ugenini.Saa mbili usiku
Kamuulize mangunguMwenye taarifa na hii mechi tafadhali
Nimejaribu kuperuzi source zote za mitandaoni inaonesha kuwa ni saa mbili usiku kwa muda wa Africa Mashabikikwa east Africa huku itakua saa tatu mida ya ndo mida ya watu kipigwa miti huko ugenini.
Real barca saa ngapi ?kwa east Africa huku itakua saa tatu mida ya ndo mida ya watu kipigwa miti huko ugenini.