FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Naomba mwenye kufahamu kama DSTV wataonyesha hii match na channel ipi anisaidie
 
Djuma shabani anajaza mtungi paleeeeee unakuwa nini.......gooooooooooooooooooooo........ni yule yule Fiston kalala Mayele anatetema nyuma ya bukta za Al hilal anawaandikia wananchi bao la kuongoza ni dakika ya 14 kipindi Cha kwanza.
 
CAF na Karia wana hujuma na Yanga,kwanini mechi ya kwanza wameweka ya Simba saa kumi jioni alafu Yanga yetu saa tatu usiku?,huku ni kupanga matokeo.Yanga tukifungwa na Al hilal Simba nao wakishinda tunaenda kumuona Rais,Yanga tunaonewa na kunyanyaswa sana.

Mungu mbariki mzee Mpili na Mandonga[emoji120]
JamiiForums605260976.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom