FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Nyie Uto , zimebaki 45' .....!

msipozitumia hizi tunahesabu kuwa Miaka 25 Hamjatinga Makundi CL CAF..!

Na muache Kujiita Timu Kubwa..!
 
yanga anajua sana, soka safiiii sio wengine hadi waroge

Usajili wote huo mmeishia hapo? Huyo Mayele leo alipotelea wapi! Natabiri zitanyukwa pale Jangwani![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Makolo roho zenu kwatu sasa [emoji849][emoji849][emoji41][emoji41]
Mmechakazwa hamuamini ni nn kinatokea
JamiiForums-54836008.jpg
 
Back
Top Bottom