FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Yani Tanzania bado hatujaweza kufikia morale ya mashabiki wa Al Hilal
 
Feisal kapiga shuti kali sana sema ndio hivyo tu leo kama mkosi vile
 
TFF roho mbaya tu.asa ndio nini kukataa kuwapa yanga mbinu kama mlivyoagizwa na waziri? Hata hivyo wanayanga msijali tumefanikiwa kupata mbinu moja , mfahamishe kila mwana yanga popote alipo.Kama sasa hivi upo sebuleni kwako unaangalia mpira na binti zako ,Kila Al Hilal wakipata mpira tu unamwambia binti yako akuvute korodani 😀,kwa hii mbinu ni lazima Al hilal watapoteza mpira na kupoteana kabisa uwanjani .Chonde chonde wana jangwani hii ndio mbinu pekee inayoweza kutusaidia.Itumieni.Achaneni na TFF alinge na minu zake
 
Back
Top Bottom