Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Simba lazima waumie kwa hizo mistake za kujirudia rudia, si mara ya kwanza wanafanya same mistake
Watagomea Mchezo na mzee Mguto atawasaidia.Bodi ya ligi tena
Aahaaaa
KaririSimba anapigwa nyingi sana leo
Msamehe bure ni mawenge tuPiramid gan tena
🦁🦁
Team Tanzania ikifungwa nakugonga...
Unajitekenya bosi. Mzee Mguto atakuja kuwasaidia muda si mrefu.Mikia kuna wachezaji mnao. Mpanzu ni mmoja wapo. Ana nguvu na speed. Goal mmefungwa la uzembe wa kipa wenu bwege🤣
Sawa bwanaa