kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,617
- 17,620
Mnafiki😂Nacheka mie mtoto wa Abdulrahim. 🤣🤣🤣
Mnafiki😂Nacheka mie mtoto wa Abdulrahim. 🤣🤣🤣
Duh! Hivi kumbe Kolo leo anacheza?Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku
🏟️ New Suez Stadium
Kaa karibu kwa Live updates
Vikosi vya timu zote (Team news)
Mechi imeanza
4' Mashambulizi kwa kila timu yanaendelea
7' Salah amekosa nafasi ya kufunga goli
8' Mpanzu anacheza faulo
11' Hakuna aliyeona lango la mwenzake
13' Ahoua anachezewa faulo
14' Kona - Simba anapiga Mpanzu
15 Goooal - Al Masry
Kumbe mna game leo?Hatari
Umeanza usaliti mapema sanaNacheka mie mtoto wa Abdulrahim. 🤣🤣🤣
Bodi ya ligi tenaTayari huko. Bodi ya ligi FC wameshalambwa. Pazia Camara limeshatunguliwa tayari huko.
AahaaaaaAcheni roho mbaya watanzania
Pendeni vyakwenu
Mvithamini
Kuweni wazalendo
Kama hivi sisi waalabu tunaongoza moja😂😂