Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Kauli yao pendwa.Bado tunajenga timu FC
Kauli yao pendwa.Bado tunajenga timu FC
Mtoto mzuri kama wewe unashabikia timu ya walonzi 😩
Cricfy huwa wanazipangia schedule kwenye option ya up coming.Wakuu hii mech inaoneshwa chanel gan kwenye CRICFY TV
Ila yaccne wanadelay sana mpaka karibu dakika 2. Sijajua kwingineCricfy huwa wanazipangia schedule kwenye option ya up coming.
Ila sina hakika kama mechi hii itaoneshwa huko.
Uhakika ni kui browser kuoitia fawanews au app ya Yaccine.
Yeah hiyo ndiyo changamoto yao lakini advantage ya app yao haina buffering za kijinga kijinga.Ila yaccne wanadelay sana mpaka karibu dakika 2. Sijajua kwingine
Karibu kwenye show za wakubwa
Subutu yaoooo😁