FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025
Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.

Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku
🏟️ New Suez Stadium

View attachment 3290600


Kaa karibu kwa Live updates
Mna uhakika Simba ataingiza timu uwanjani? tunawatakia Al Masry ushindi wa kishindo.
 
Kwa hesabu za kwenye karatasi simba anauwezekano wa kushinda kwa 90%..!

Msiniulize nimepataje hiyo probability..!
 
Screenshot_20250309-211950.png

Adui mwombee njaa ni hayo tu kwa sasa
 
"Wanasimba..hii tunavuka!!"

Kauli mbiu iliyoko kambini Misri
 
Kila la heri kwa Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports!!

Naamini leo nikiwa hapa Mpumalanga nitafurahi sana kwa ushindi mnono au walau sare yoyote!! Maana kwa Mkapa hatoki mtu🦁View attachment 3290640
Kila la heri wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuwano ya kimataifa ya soka katika ngazi ya vilabu. Tumeshachoka na hizi robo fainali.
#Msimu huu tunasonga mbele.
#Simba Nguvu moja
#Simba Taifa kubwa

Daa! Kwa hiyo leo vitumbua ndio mbadala wa popcorn 🍿?
 
Back
Top Bottom