DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Simba inaenda kuwa klabu ya 5 bora Africa ndani ya wiki moja ijayo. Zile salamu za kupungia kiganja zinaenda kugeuka kama ilivyo falsafa ya ubaya ubwela. Hi Uto 👋
Asante mtani wangu...
Sawa mtani endelea kujenga taifa watoto wako wanakutegemea 🙂Thank u dear...
Nipo ila busy sana mtani...
Utasubiria Sana wako Tabora wanalumbana na Christina Mwagala😂😂😂Yanga na mamelody sundown ni lini Niko huku Yemen siku zimegandaView attachment 3291050
Bado tunajenga timu FCLolote baya liwakute kina Mwakarobo.
Wazee wa kufa kiumeLolote baya liwakute kina Mwakarobo.
Nmecheka😂😂Bado tunajenga timu FC
Hahahaa. Ntacheka sana mie leo. Lol.Baada ya bonanza la pale Tabora kuisha, sasa ni muda wa kutazama show za wakubwa, karibu mtani Shadeeya
Maendeleo hayana chamaView attachment 3291310