FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

Afcon natabiri tutapangwa kundi A pamoja na
Wenyeji ivory coast , morocco, tanzania na south africa
 
Mbinu za medani za muda wa nyongeza....

Bacca anasukumwa kidogo na kujirusha [emoji1787]

Wachezaji wetu wanahamaki(zuga) na kureact dhidi ya kusukumwa BACCA [emoji1787][emoji1787]

Kocha wetu anarusha chupa za maji ndani....[emoji1787]

All and all nitashuhudia fainali za pili za AFCON ndani ya maisha yangu alhamdulillah [emoji120]
 
We jamaa unaishi Dunia yaani Azam,Startimes,DSTV Bado unaidai serikali ionyeshe mechi😀😀😀
Unaambiwa ukitaka ujue mbongo asivyolizima ananza sentensi yako na maneno haya Ila serikali yetu……. Muachie atamalizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…