Hajafika bado nna kifurushi changu cha dagaa mchele nimemuagiza Cristian Ronaldo hakijanifikia.Mbeleko inaenda kwa anayejua kubebeka. Umeshafika Lisbon, Ureno au bado uko njiani Lizaboni, Songea?
Hahahaha nimefurahi hawa Misri kuna mtu nilimwambia hapa naangalia nae Misri wanatoka akabisha mpira umeisha kakimbia haamini anachokiona😅😅😅 Hapa ni kutembea kifua mbeleee tuuu... nikajipongeze na chochote kitu
Unashabikia mabaguzi hawapendi waafrika?Naelekea kwenye Banda la mbuzi naenda kuchinja mbuzi sasahivi, nikachek na duka la POMBEKALI kama lipo wazi
Una uhakika Gani Mimi ni muafrika? Unanijua?Unashabikia mabaguzi hawapendi waafrika?
Uweli mie moyo uliinama chini , hapa nimepata nguvu ya kufanya lolote 😅😅😅😅.. Kesho naenda mnunulie jezi mtuHahahaha nimefurahi hawa Misri kuna mtu nilimwambia hapa naangalia nae Misri wanatoka akabisha mpira umeisha kakimbia haamini anachokiona
Amebebwa wapi?Argentina wanabebwa sana, wawape kombe sasa ijulikane tu
HahahahahaMessi Tomba Tomba...dah huyu mzee
andunje ni habari ya Dunia sema jinginePenati ya dhurma imedakwa, Andunje kakosa
Ile ya Mo Salah haikuwa penalty angalia marudioWawape kombe wasisumbue watu kuangalia wala kufatilia .. wamekataa goli halali wakasema kuna faulo imechezeka! SALAH kaangushwa kwenye box goli limefungwa hajasumbuka kwenda kuangalia... nikiangalia mechi ya morocco na France basi hizi za argentina zinaboa mbeleko nyingi sana
Hakuna faulo pale na mpira umeisha hahahahapo ndo pameniuma balaa
Argentina imefanya sub za kutosha kingebakia kikosi kile kile cha kwanza wasingetoboa hii mechi kocha kabadirisha mchezo mwishoni kabisa kwa kuingiza sub za maanaUnapofunga Magoli ndio Kipindi unatakiwa kuwa makini Sana, Mimi nashindwa kuelewa kwanini timu zikitangulia kufunga huwa zinabadilisha mchezo wao kabisa na umakini unapungua...Class is permanent, Argentina Wana Class.
Upo sahihi hii game ilikuwa moto sana Misri kazingua umakini 0. Mwanaume kabaki morocco ngoja tuoneUnapofunga Magoli ndio Kipindi unatakiwa kuwa makini Sana, Mimi nashindwa kuelewa kwanini timu zikitangulia kufunga huwa zinabadilisha mchezo wao kabisa na umakini unapungua...Class is permanent, Argentina Wana Class.
Ka Messi kafupi, kazee, kabishi na kabaguzi.
Walipishinda kombe la dunia Qatar 2022 yeye na wenzake walikuwa wanaimba nyimbo za kibaguzi dhidi ya Ufaransa.
Sema ndo hivo washapenya, Tumembakiza Morroco ngoja tuone.Hawa wabaguzi wa rangi, mwenyewe siwakubali.