Tatizo la timu za africa zinapenda mteremko na kutafuta wa kumtupia lawama mara ooh tunabaguliwa,tunaonewa,
No plan B
Mpira ni mchezo wa wazi na una matokea matatu kufunga,kufungwa na sare....
.sasa Africa players wanaingia uwanjani na mentality za kijinga kwamba tutashinda tu na ikitokea wametangulia goli Moja au mbili wanarudi kupaki basi hapa ukikutana timu inayoshambulia vizuri lazima ufungwe Tu.
Leo hata ukivuta Mabange na kusapoti 😆Yani dogo Tumeumia sana hapa na masela.
Ila bado tunaye Morocco.
VAR yenyewe inatumika akili/utashi wa kibinadamu kuamua matukio.VAR huwa inatumika matukio ya upande mmoja tu , hasa Argentina inapocheza haya malalamiko yapo karibu dunia nzima , fuatia page mbalimbali na sio Africa tu
View attachment 3624520
Oya gemu over Misri kafungasha mizigoVAR huwa inatumika matukio ya upande mmoja tu , hasa Argentina inapocheza haya malalamiko yapo karibu dunia nzima , fuatia page mbalimbali na sio Africa tu
View attachment 3624520
Mzee wakifuatilia kuna mfarao alimpiga kiganja cha nguvu Lautaro pale wanakoromeana n jamaa ingineVAR huwa inatumika matukio ya upande mmoja tu , hasa Argentina inapocheza haya malalamiko yapo karibu dunia nzima , fuatia page mbalimbali na sio Africa tu
View attachment 3624520
Straight red cardMzee wakifuatilia kuna mfarao alimpiga kiganja cha nguvu Lautaro pale wanakoromeana n jamaa ingine
sio kila faul ni penatiIle ya Mo Salah haikuwa penalty angalia marudio
Nilikuwa namjua huyu striker tuWamecheza mpira wote
Matukio yapo mengi Jude alimcofront Ayew hk kaziba mdomo na hakupewa red card.Straight red card
View attachment 3624532
Sidhani km ni suala la sub ila timu za Afrika zinapoteza umakini pale zinapokuwa zimepata goli la kuongoza.SUB IMEWAGARIMU MISRI
Yule Balogun alipewa red kwa foul kama hii.Straight red card
View attachment 3624532
VAR huwa inatumika matukio ya upande mmoja tu , hasa Argentina inapocheza haya malalamiko yapo karibu dunia nzima , fuatia page mbalimbali na sio Africa tu
Hiyo hapo ni kuhararisha usalama wa mwingine , hainaga kona kona , kuizungumzia hiyo ona aibuMatukio yapo mengi Jude alimcofront Ayew hk kaziba mdomo na hakupewa red card.
Tukisema tunaambiwa tuna chukiYule Balogun alipewa red kwa foul kama hii.
Watoto pendwaYule Balogun alipewa red kwa foul kama hii.