FT: Argentina 3-2 Egypt | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 7 Julai, 2026 | 1:00 Usiku | Egypt yaaga mashindano

Cape verde walishika Mara mbili dhidi ya hw hw matapel argentina lakn hazikua penati pale wameangalia nini ?
Mn profesheno fouls n ujanja unaotumik kukwapua advantage ya m2
Katika mpira wa miguu, straight red card (kadi nyekundu ya moja kwa moja).


Ina maana kwamba mchezaji anafukuzwa uwanjani papo hapo bila kuonyeshwa kadi ya njano kwanza.

Hii hutolewa kwa makosa makubwa kama,
Kucheza faulo ya hatari sana.


Kumpiga au kujaribu kumpiga mchezaji mwingine.
Kumtemea mate mtu.
Kutumia lugha au vitendo vya matusi au vya kukera sana.
 
Unashabikia mabaguzi hawapendi waafrika?
Bora hao ambao wanafanya ubaguzi wakiwa kwao, kuliko hawa Wazungu mnaowashabikia walioitawala na kuikandamiza Afrika. Argentina walitutawala wapi?

Pili, hao Wachezaji weusi unaowaona kwenye mataifa ya Ulaya na America hawapendi kunasibishwa na Afrika. Na wanatuona sisi tulioko Afrika tunajipendekeza kwao. Siwapendi kabisa hao kenge.
 
Bora hao ambao wanafanya ubaguzi wakiwa kwao, kuliko hawa Wazungu mnaowashabikia walioitawala na kuikandamiza Afrika. Argentina walitawala wapi?
argentina ilifuta kizazi chote cha weusi na ilikuwa ndio nchi yenye weusi wengi amerika ya kusini
 
MISRI WAKILALAMIKA NINI KITATOKEA? NAONA KUNA UONEVU WA WAZI KABISA KWA MISRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…