Argentina wamepoa sana leo hawachezi wanatembea tu uwanjani km wapo sokoni wakati Misri wanakamia magoli Argentina wanafika kwenye goli la Misri wanaleta urembo urembo tu hawataki kufunga wala kulazimisha bao hawatakiAndunje ndio anafanya wabebwe
Mzee wako jana kaondolewa. Usisahau!Kataeni na hilo๐คฃ๐คฃ
ุจูุณูู ู ุงูููุ ู ูุตูุฑู ุชูุจูููู ุนูุธููู ูุฉู. ๐ช๐ฌAllahu Akbar๐
Nipo Norway ๐ณ๐ด kijana ruuuuuuMzee wako jana kaondolewa. Usisahau!
Kiuatani utani tu Jitu linaweza kuvuliwa ubingwa.Jitu Lina wekwa VAR inachomoa, ila kwenye hili var imeshindwa.