FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Mchezaji pekee ambaye ana talent ya mpira wa kileo Simba ni Aubin Kramo tu. Bahati mbaya ndiyo hivyo
 
Katika mchezaji mwepesi kumpita Simba ni Kapombe. Kajinga sana sometimes haka kajamaa halafu hakana mbio kabisaa
 
Mechi mnaweza hata kushinda ,toa Kanoute Chama arudi namba kumi Saido kumi na moja,Kibu saba.
 
Leo Ma Kameramen/women ni wamechemsha pakubwa sana.
 
Tobaaaaaaaaah weee, nafasi ya wazi kabisaaa.
Lol
 
Hata hao azam w Wananunua startime kufanya production hawajashindwa kupitia hd zao za starworld unayeongea nae hapa ni mtu wa production hata wasikudanganye azam awafanyi production Caf naó wananunua wanafanya hapa bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…