FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Simba siku zote inasumbua ikiwa kwenye dimba la Mkapa tu! Nje ya uwanja wa Taifa, huwa inakuwa ni timu ya kawaida sana.

Na hata itakaporudi Bongo kuja kucheza mechi za ligi kuu, kuna uwezekano wa kupoteza mechi za kutosha tu za ugenini! Au kuambulia sare, na hivyo kuwapa mwanya Yanga kuchukua ubingwa kirahisi msimu huu. Maana Yanga yenyewe inajipigia nyumbani na ugenini.
watanunua mechi, mwendo wa penat na red cards tu.
 
Mohamed Hussein kafanya kosa kubwa sana la kiulinzi amekiuka misingi ya ukabaji hasa beki wa pembeni kumuachia mpinzani kukupita kiboya na kumruhusu apige cross
 
Unajiuliza hivi hii timu haina kocha ,team hata plan B haina makosa ni yaleyale kila mechi.
 
Back
Top Bottom