FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Nikiwa kama shabiki wa Yanga, naitakia ushindi Azam Fc. Wala sina sababu ya kuwa mnafiki. Siku zote adui yako muombee njaa.
 
Kila la heri wakubwa..Simba mwaka wenu huu...
I believe it too. Nilishawaambia hakuna timu ya kuwafunga Simba msimu huu kwenye ligi.

Nina uhakika marefa kuna mechi wataharibu, lakini Simba ya sasa moto wa kuotea mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…