Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Saaduni kwenye hizi mechi mbili kanikumbusha enzi zangu anacho kifanya saaduni ni vitu vilivyo wekwa kwenye miguu yanguKwahiyo Azam wanacheza bila ya recognized striker?
Saaduni as false nine
πππpesa ya mboga ya wik
πππSimba ikicheza kila mtu ana furaha.
Tunalipiga leo hiloAzam ni dude flani
Haponi, Azam mchovu sanaKama Mizania imeanza kulalia upande mmoja mapema...!
Sijui kama Azam atapona Leo..!
hadi azam ana furahi kwa kupata kibondeSimba ikicheza kila mtu ana furaha.