FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Gamondi huko aliko kiwewe. Itabidi aanze kuhudhuria mechi zetu kama mwaka juzi ajifunza mpira .
 
Nwisho wa mechi wachezaji wanapiga magoti kumshukuru Mungu kwa kujibu maombi yao

Nadhani maombi yalikuwa ni kupunguza idadi ya magoli.
Alafu hii ndio kitu nashindwaga kuelewa...waafrica sie kuomba kwingi lakini wadhunhawanaga hayo mambo na kipigo wanatupa
Au mungu wao ni special zaidi🤔🤔🤔🤔
 
19/07/1977 simba 6 - Utopolo 0
6/05/2012 simba 5 - utopolo 0
12/07/2020 simba 4 - utopolo 1
historia nzuri nipe na historia nani kamkanda mwenzake mara nyingi

hii ya 2012 goli 3 za penati kama unakumbuka
 
Kwa kweli maana sio kwa ushuzi ule wa performance...kweli foreign player anacheza hivyo😲 thats just a waste of money kwa kweli.
Performance ya azame second half dhidi ya coastal ilikuwa mbovu na leo performance hii sio ya timu kugombania ubingwa
Kwahiyo wewe unaona Kengold ndo nzuri kuliko Azam?

Azam wamejitahidi. Walikuwa wale 3 au 4.

Hakuna timu ya kuifunga Simba huu mwaka kwenye ligi mark my words.
 
Mwisho wa mechi wachezaji wanapiga magoti kumshukuru Mungu kwa kujibu maombi yao

Nadhani maombi yalikuwa ni kupunguza idadi ya magoli.
Na kiongozi wao kaoneshwa jukwaani akipiga makofi baada mpira kuisha
 
Magoli yote ni offside🚮 refa kaharibu mchezo
Huyu Sasii ni kolo wahed leo kawanyonga Azam magoli ya offside na huu ni mwendelezo wake alipoishia derby ya kariakoo iliyopita alipopunguza magoli ya Yanga. Yanga never ever allow huyu Sasii kuchezeshwa nae!!
 
Kwahiyo wewe unaona Kengold ndo nzuri kuliko Azam?

Azam wamejitahidi. Walikuwa wale 3 au 4.

Hakuna timu ya kuifunga Simba huu mwaka kwenye ligi mark my words.
Sasa ambitions za kengold na azam ni sawa wewe?
Simba atafungwa tuu...wee tulia simba akishaanza kwenda mkoani huko ndio utajua simba imara au mdebwedo
 
Kwahiyo wewe unaona Kengold ndo nzuri kuliko Azam?

Azam wamejitahidi. Walikuwa wale 3 au 4.

Hakuna timu ya kuifunga Simba huu mwaka kwenye ligi mark my words.
Hakuna timu ya kuifunga Simba wakati alishafungwa tarehe 8 mwezi wa nane
 
Hilo goli wanalosema ni offside, kwanza amefunga KIbu, kipa kadakia ndani.
 
Back
Top Bottom