Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badala ya kusuka timu lenu mnakalia kutafutiza lawama tu, mmezoea mbeleko.Arajiga ni agent Wa Uto, na amesaidia Sana kutengeneza hili gap....!
Kila Mechi Lzm atoe Penati za Mchongo dhidi ya Simba
Kweli na game ya kujifunzia sio hii.Huyu Chasambi ana vitu vya kujifunza. Anaruka ruka tu
Hakika mkuu. Hamna cha maana katika kipindi hiki cha kwanza wakifanyachoKweli na game ya kujifunzia sio hii.