FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

Amphibians fans ndio hao hao Lamba Lamba fans.

Hao ndio mashabiki wa kibongo bongo 😂
 
1000029900.jpg
 
Hii mechi ingekuwa imeisha kama angekuwepo mwana mfalme Mphomelelo Dube
 
View attachment 2985008
View attachment 2985846
#nguvumoja#

VIKOSI VINAVYOANZA.

AZAM FC
View attachment 2985936

SIMBA SC.
View attachment 2985938

Updates...
Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa.
Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli.

Updates....
04'
Azam wanajaribu kufanya shambulizi, halifanikiwi.

20'
Mpira unaendelea na timu zinashambuliana kwa kasi sana.
Azam 0-0 Simba

29'
Simba wanapata kona!
Haileti madhara yoyote yale.

34'
Azam wanapata penati hapa.
Anapiga Feisali Salum
Amekosaaaaaaaaaaaaaa...
Imegonga mwamba na kurudi uwanjani.

39'
Mpira umesimama kwa muda .
Kanoute amegongana na kipa Mustafa.
Anatolewa nje kwa matibabu zaidi.

HT
0-0

----------------------
Kipindi cha pili

55'
Game on
0-0
Kibu ndio atatufutia aibu leo.
Inonga aingie akamtengue Feisal.
 
Azam ni team mbovu sana . Awawezi kuvuka group stages hawa . Kila mchezi wa azam aikienda mbele yupo pekee yake . Ni kama awajui cha kufanya mbele . Ningekuwa azim ningefukuza wote
 
Back
Top Bottom