View attachment 2985008
View attachment 2985846
#nguvumoja#
VIKOSI VINAVYOANZA.
AZAM FC
View attachment 2985936
SIMBA SC.
View attachment 2985938
Updates...
Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa.
Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli.
Updates....
04'
Azam wanajaribu kufanya shambulizi, halifanikiwi.
20'
Mpira unaendelea na timu zinashambuliana kwa kasi sana.
Azam 0-0 Simba
29'
Simba wanapata kona!
Haileti madhara yoyote yale.
34'
Azam wanapata penati hapa.
Anapiga Feisali Salum
Amekosaaaaaaaaaaaaaa...
Imegonga mwamba na kurudi uwanjani.
39'
Mpira umesimama kwa muda .
Kanoute amegongana na kipa Mustafa.
Anatolewa nje kwa matibabu zaidi.
HT
0-0
----------------------
Kipindi cha pili
55'
Game on
0-0