Pia anapaswa inapaswa kufahamika kuwa ushindi wa mechi mbili ni endapo leo Azam atashinda. Ila kama Azam atafungwa au kutoka sare, basi Yanga atahitaji ushindi wa point 3 au 4 tu kuwa bingwa wa ligi kuu.Hawezi kuchukua ubingwa.
Ubingwa ni wa Yanga.
Yanga kabakisha mechi nne.
Anahitaji ushindi wa mechi mbili tu anyanyue ndoo.
Kwa ubora wa Yanga na mechi zilizobaki sio rahisi kupoteza mechi zote.
Nafasi ya pili inagombaniwa kati ya Simba na Azam.
Mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa kuipata.
Imani yako inaweza kuamisha milimaMtibwa 1 - 1 Yanga.
Dodoma Jiji 1 - 0 Yanga
Yanga 1 - 1 Tabora United
Yanga 0 - 0 Tanzania Prison.
Nisome kwa makini hapo Juu.
Kama ni suluhu maanake Yanga atakuwa na 71Suluhu.
GUVU MOYA 👹
Simba inaongoza kupigwa faini za imani za kishirikina. Mpaka south mlikiwasha sana.Kubahatisha na uchawi mwingi
Mtibwa 1 - 1 Yanga.Hawezi kuchukua ubingwa.
Ubingwa ni wa Yanga.
Yanga kabakisha mechi nne.
Anahitaji ushindi wa mechi mbili tu anyanyue ndoo.
Kwa ubora wa Yanga na mechi zilizobaki sio rahisi kupoteza mechi zote.
Nafasi ya pili inagombaniwa kati ya Simba na Azam.
Mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa kuipata.
Sometimes possible is impossibleMtibwa 1 - 1 Yanga.
Dodoma Jiji 1 - 0 Yanga
Yanga 1 - 1 Tabora United
Yanga 0 - 1 Tanzania Prison. =70 points
Azam 1-2 Simba.
All other 4 games Azam win.= 69 Points.
All other 5 games Simba Win. = 71 Points. (Bingwaaaa)
In football Impossible is possible.
Wana thimbaaaaaGUVU MOYA 👹
Yanga wanacheza Mpira mbovu saanaKubahatisha na uchawi mwingi
Kuliko thimba?Yanga wanacheza Mpira mbovu saana
Hakika. Hivi kibu yupo leo?Muda ni mwamuzi mzuri
Lazima tupate matokeo tuna Imani na Timu yetu na kocha wetu MGUNDA a.k.a PEP GADIOLA MNENE 😊Wana thimbaaaaa
Simba ya Mgunda itafika mbaliKuliko thimba?