FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

Azam: do you want to restore your team into default settings
Mgunda: No... please wait
Azam: you have successful restored your squad into default settings 😂😂😂😂


Nb. Jeans la Mgunda limefuliwa na Mkude bila kujua siri ya jeans lile🏃‍♂️
 
🤪🤪🤪🤪
Maji na mafuta yashaanza kujitenga.
 
Tumekubali kipigo lakini Mgunda ajifunze sub muda sahihi.
 
Me staki bhana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
53ab23aac168427aa3c985dfb3a2a580.jpg
 
Ila Kyombo bado ni mzuri wampe nafasi ajiamini sio kumtoa benchi kunamfanya akose kujiamini. Unaona kabisa hata uchezaji wake akitulia ni bonge la mchezaji.
 
Halafu nyie Uto Mgunda bado yupo sana tena sana tuu kupoteza mechi moja sio ndo kwamba ni mbovu.. huyo wenu anibiteni mbona mechi za nje huko anashindwa?
 
Ila Kyombo bado ni mzuri wampe nafasi ajiamini sio kumtoa benchi kunamfanya akose kujiamini. Unaona kabisa hata uchezaji wake akitulia ni bonge la mchezaji.

Hata Boko Haram ni mzuri na mzoefu ukumbuke
 
🤣 🤣 🤣....haya bolokoni moja iyo angaikeni nayo usiku mzima umbwa nyie.
 
Boko amechoka aisee ila ni mvp wa wakati wote. Atabaki kwenye kumbukumbu

Umri umeenda halafu mpira na umri vinafanana, leo aliyemwona c.ronaldo wa enzi zile chenga za mkasi na huyu wa leo unaona kabisa moyo unataka lakini mwili umekataa mpira
 
Back
Top Bottom