SMARTER GHOST
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 298
- 1,258
Lipo swali utanisaidia jibu baadaye.Azam hawajahi kuwa Serious [emoji3][emoji3][emoji3]
Azam wameuza mechi sio bure kutolewa kizembe hivyoAZAM OUT
Wangesema anatoka kabla ya kupigwa,Penalti zote hizo kwa Ally Salim angedakia mgongo na mngesema uchawi
Pole mkuuPenalti zote hizo kwa Ally Salim angedakia mgongo na mngesema uchawi
Bahati si yao
Mkuu siku nyingine unaweka over 1.5Daaa!! Kwahyo Azam out? Hakuna team hapo Ngoja nimuweke kwenye blacklist ya team za mikeka yangu
Bahati si yao
Wewe nae umejaa utopolo kichwani, kwa hiyo Bajana ni mwarabu?Haijawahi kutoka Mwarabu akamshinda Myahudi popote wskutanapo kwa lolote