FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

[emoji3064][emoji3064]
img_1_1687976012224.jpg
 
Azam FC wana mambo kwelikweli, msimu huu wa mashindano badala ya kujenga timu yeye alikuwa anasifa uzi wake.. Msimu uliopita alikuwa anaringishia basi, Zaka Zakazi sijui atakuja na lipi tena.
 
Wee niambie siwezi kuangaika na vitabu vya karne ya kwanza wakati Leo nipo karne ya 21 huo ni ufinyu wa akili www niambie hiyo njia
Yesu akawaambia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu". Una swali lingine shetani?
 
Nyie mwiko nyuma mnamcheka Azam wakati nyie wenyewe ndio wale wale miaka 25 sijui 24 hujawahi cheza champions league yaan kiwete anamcheka kipofu kisa yeye anaona kuna Mwiko nyuma Full utopolo halafu kuna huyu Azam ni utopolo no 2 hasara kwa taifa
 
Yesu akawaambia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu". Una swali lingine shetani?
Sina naomba uwaombee Utopolo mwiko nyuma waingie makundi ya CAF Champion league kwa Yesu awasaidie miaka 24 sio mchezo awatoe mapepo
 
Back
Top Bottom