Tayari hukoBado kuna goli zingine akija kuupdate ajumuishe yote
Namsubiri huyu kenge hasira za inter kazihamishia leo anaumia akiwa wapi.Bado kuna goli zingine akija kuupdate ajumuishe yote
Bahasha zimeshatembeaRefa anashida gani na Barcelona?
Goal limekataliwa Fermin aliunawa mpira kabla ya kufungaFermin anawapa Barca goli la 5
Inaweza isifanye kazi piaDaah Madrid msimu watafanya vurugu kwenye usajili,washampoint Bruno, Saliba na Davis.
Bruno ambaye September atakuww na miaka 31Daah Madrid msimu watafanya vurugu kwenye usajili,washampoint Bruno, Saliba na Davis.
Pacha zipo nyingi sana humo 😔Imekuwa send-off mbaya kwa Luca Modric na Carlo Ancelloti ambao wataondoka baada ya msimu huu kuisha
Sijui ni nani aliyeleta wazo la kumchukua Hans Flick 😃Carlo ancelotti hawezi kumsahau Hans flick maisha yak yote yaliyobakia
Madrid huwaga anajali, akitaka lako kwenye usajili mara nyingi hufanikiwa.Inaweza isifanye kazi pia