Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Duh! Aya ila kwa marefa wa La ligaIle haiwezi kuwa penati, mkono ulikuwa kwenye nafasi yake
Duh! Aya ila kwa marefa wa La ligaIle haiwezi kuwa penati, mkono ulikuwa kwenye nafasi yake
Ana miaka 27Jee Ndoto Ya Mbape kuwa mchezaji mkubwa kama Ronaldo au Messi siyo halisia?
😆😂😂Ile haiwezi kuwa penati, mkono ulikuwa kwenye nafasi yake
Sawa ila vinne tena ndani ya msimu mmoja si kitu cha kawaida.Ngoja tuone! lakini El classico vipigo huwa ni mwendo wa kupokezana kwa misimu.
Mnyama Fermin. Bonge la chuuuuuma!! Barca haihitaji kubebwa bebwa hapaFermin anawapa Barca goli la 5
ila anaeupdate haya bhana! Ngoja nikaone gooners wanavyorudisha 2-0.Anaebadilisha title ni mwanabarcelona, maana ikifunga anaupdate chap! Madrid wakifunga anasonya tu! Mchww mchww hadi anasahau kuupdate.
Bado kuna goli zingine za Barça akija kuupdate ajumuishe yoteAnaebadilisha title ni mwanabarcelona, maana ikifunga anaupdate chap! Madrid wakifunga anasonya tu! Mchww mchww hadi anasahau kuupdate.