Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
- Thread starter
- #221
69’ Mbappeeeeeeeeeeeee
Hat trick
Hat trick
Netflix fcSasa mkuu wale ganaz pale waongeze streka la maana,winga nico williams,zubimendi Kati, balaa lake unalionaje?
Bila shaka hata kusema kwako tu kunaonyesha ni shabiki lia lia wa arsenalNipo nimepumzika ndani.
Ila ikifika kucheza nao,nyoyo juu ya ulimi kwa woga na mnakandwa kwelikweliNetflix fc
Hawajui kulindaBarca wanajisahau sana kwa Vini na Mbape, hizi goli zinaweza kurudi
Siwezi shabikia timu ambayo kombe lake kila mwaka ni Next season.Bila shaka hata kusema kwako tu kunaonyesha ni shabiki lia lia wa arsenal
Champion league wananunua!!!Unafikiri ni 5imba Hawa?We jamaa nime ku disrespect sana.Real Madrid mtanunua makombe yote ulaya ila Barcelona watabakia kuwa your owner
Msimu huu ni Mo SalahToka 2008 Cristiano kuchukua Ballon d'or ndondokera nyingine imetokea 2025 kwa mtu wa EPl kuchukua hiyo tuzo tena hiyo tuzo imeacha maswali mengi.
Raphina hii ya sasa anachukua.
Vikosi tofautiRonaldo hakuwahi kufunga hatrick el classico mbappe na Vin wamefanya hivyo acha tuendelee kuona
Atapewa ya MisriMsimu huu ni Mo Salah
Inawezekana japo El Classico ya sasa haina msisimko huo mkubwa kama nyuma kidogoVikosi tofauti