Muda mchache ujao, El Clasico inapigwa.
Ni Barcelona Vs Real Madrid katika mchezo muhimu wa La liga ambao utatoa picha ya mbio za ubingwa.
Ikumbukwe ni El Clasico ya mwisho kwa Carlo Ancelloti kabla ya ujio wa Xabi Alonso pale Real Madrid.
Ancelloti amefungwa mechi zote alizokutana na Barcelona huku pengo la point likiwa ni tofauti ya alama 4 huku ikibakia michezo minne tu kabla ya mechi ya leo.
Ungana nami kwa live updates…
==================
1’ Real Madrid wanaanza mpira kwa kasi
2’ Mbappe anafanyiwa faulo kwenye box, refa anasema penati
4’ Goaaaaaallllll Mbappe anafunga penati
5’ Barcelona 0-1 Real Madrid
7’ Real Madrid ni kama wanaitaka sana mechi ya leo
10’ Barcelona 0-1 Real Madrid
12’ Barca wameanza kuliandama lango la Real Madrid kama kawaida yao
14’ Mbappe anaweka goli la pili na kufanya ubao usome Barcelona 0-2 Real Madrid
15’ Lamine Yamal yuko chini
19’ Garcia anawapa goli 1 Barcelona
20’ Barcelona 1-2 Real Madrid
23’ Watoto wa Barcelona wamecharuka sasa
25’ Barcelona 1-2 Real Madrid
28’ Real Madrid wamepaki basi mapema sana, mchezo umetawaliwa na Barcelona
29’ Fade Valverde anapata kadi ya njano baada ya kumchezea madhambi Lamine Yamal
31’ Lamine anaisawazishia Barcelona na matokeo ni 2-2
34’ Raphinha anaitanguliza mbe Barcelona huku ubao ukisoma 3-2
36’ Tchouameni anapata kadi ya njano kwa kumchezea madhambi Ferran Torres
40’ Barcelona 3-2 Real Madrid
44’ Barcelona 4-2 Real Madrid
Mfungaji wa goli la nne ni Raphinha
45’ Zinaongezwa dakika 6
45+5’ Mbappe anafunga lakini goli linakataliwa kwakuwa alikuwa offside
HT’ Barcelona 4-2 Real Madrid
2nd half
50’ Asescio wa Real Madrid anapewa kadi ya njano kwa mchezo usiokuwa wa kiungwana kwa Ferran Torres
52’ Lamine Yamal anaaweka goli la 5 lakini inaonekana kwenye build up kulikuwa na offside ya Raphinha
53’ Inago Martinez wa Barcelona anapewa kadi ya njano kwa mchezo usiokuwa wa kiungwana kwa Jude Bellingham
57’ Christensen & Balde wanaingia kuchukua nafasi za Gerrard n& Cubarsi kwa upande wa Barcelona
63’ Barcelona 4-2 Real Madrid
69’ Mbapppeeeeeeeee anafunga goli la tatu, anapiga hat trick
Barcelona 4-3 Real Madrid
81’ VAR inaamua hakuna penati baada ya mpira uliopigwa na mchezaji wa Barcelona kugonga mkono wa Tchouameni
90’ Zinaongezwa dakika 6
90+5’ Fermin anawapa Barcelona goal la 5 lakini goal linakataliwa kwakuwa aliunawa mpira
FT’ Barcelona 4-3 Real Madrid