FT: Barcelona 4-3 Real Madrid | Laliga | Estadio Olimpic Luis Companys | 11.05.2025

FT: Barcelona 4-3 Real Madrid | Laliga | Estadio Olimpic Luis Companys | 11.05.2025

Mechi zenye magoli mengi El Classico:

13/06/1943
R. Madrid 11-1 Barcelona

03/02/1935
R. Madrid 8-2 Barcelona

24/09/1950
R. Madrid 2-7 Barcelona

02/05/2009
R. Madrid 2-6 Barcelona

13/04/1916
R. Madrid 6-6 Barcelona

10/01/1943
R. Madrid 5-5 Barcelona

11/05/2025
LIVE:
R. Madrid 2-4 Barcelona
Umesahau na ya tarehe 12/01/2025 real madrid 2 - 5 barcelona ya supercopa de espana
 
We acha mpira kama vita watu wanataka kutoana roho ,nakumbuka mess alikua anakosa raha sana akikutana na sergio ramos 😝😝
Na ile baka ilikua sio ya kawaida na kumbuka fainali na Manchester nilipata tumbo la kuhara
 
Balaa hili, amehusika kwenye magoli matatu kati ya manne kipindi cha kwanza 👊🏾👊🏾👊🏾
IMG_9171.jpeg
 
Ushindi wa El Classico mfululizo!

1 Real Madrid - Mechi 7
22/04/1962 hadi 28/02/1965

2. Real Madrid - Mechi 5
01/03/2020 hadi 20/03/2022

3. Barcelona - Mechi 5
13/12/2008 hadi 29/11/2010
Maana Barcelona ndani ya msimu huu pekee 24/25 akishinda na leo inakuwa mara ya nne mfululizo. Babu Lewandoski bado hajaingia.
 
Tusubiri tuone msimu ujao ila ana tatizo la kuruhusu sana magoli Leverkusen msimu jana na msimu huu ni moja ya matatizo yake japo pia kufunga ana funga mengi tu.
Xabi anajua kukamia sana ,kama msimu uliopita aliweka nadhiri ya kuchukua kombe ,hata unbeaten yake ilikuwa ndefu.
 
Back
Top Bottom