Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 2,269
- 5,399
Ona kama hilo goli la Nne, Lucas V. Anachukuliwa mpira ki maandazi Kabisa.
Unasema?Barcelona leo anakufa wametuzoea sana🤔
Madrid wanatumia nguvu nyingi ,wanajihami sana ..Wakiwa wanaongoza ila bado wanambwela ,hawampi presh mpinzani wao.Kuna misimu kadhaa mbele RMA wakubali watakuwa vibonde wa Barça
Madrid akiendelea kuwa mse*ge mse*ge hivi atapigwa wiki....nipo pale🚮🚮🚮Muda mchache ujao, El Clasico inapigwa.
Ni Barcelona Vs Real Madrid katika mchezo muhimu wa La liga ambao utatoa picha ya mbio za ubingwa.
Ikumbukwe ni El Clasico ya mwisho kwa Carlo Ancelloti kabla ya ujio wa Xabi Alonso pale Real Madrid.
Ancelloti amefungwa mechi zote alizokutana na Barcelona huku pengo la point likiwa ni tofauti ya alama 4 huku ikibakia michezo minne tu kabla ya mechi ya leo.
Ungana nami kwa live updates…
==================
1’ Real Madrid wanaanza mpira kwa kasi
2’ Mbappe anafanyiwa faulo kwenye box, refa anasema penati
4’ Goaaaaaallllll Mbappe anafunga penati
5’ Barcelona 0-1 Real Madrid
7’ Real Madrid ni kama wanaitaka sana mechi ya leo
10’ Barcelona 0-1 Real Madrid
12’ Barca wameanza kuliandama lango la Real Madrid kama kawaida yao
14’ Mbappe anaweka goli la pili na kufanya ubao usome Barcelona 0-2 Real Madrid
15’ Lamine Yamal yuko chini
19’ Garcia anawapa goli 1 Barcelona
20’ Barcelona 1-2 Real Madrid
23’ Watoto wa Barcelona wamecharuka sasa
25’ Barcelona 1-2 Real Madrid
28’ Real Madrid wamepaki basi mapema sana, mchezo umetawaliwa na Barcelona
29’ Fade Valverde anapata kadi ya njano baada ya kumchezea madhambi Lamine Yamal
31’ Lamine anaisawazishia Barcelona na matokeo ni 2-3
34’ Raphinha anaitanguliza mbe Barcelona huku ubao ukisoma 3-2
36’ Tchouameni anapata kadi ya njano kwa kumchezea madhambi Ferran Torres
40’ Barcelona 3-2 Real Madrid
Msimu huu tu kapigika vilivyo na msimu ujao naona mambo n yale yaleKuna misimu kadhaa mbele RMA wakubali watakuwa vibonde wa Barça
Kama ndugu zetu huku eee😀😀😀😀Madrid wamekuwa wanyonge sana wangejua wasingeleta timu 🤣🤣🤣
Jee Ndoto Ya Mbape kuwa mchezaji mkubwa kama Ronaldo au Messi siyo halisia?Timu kubwa kama Madrid, Game kubwa kama El Classico
Huwezi kuwa unamtangulizia mipira Mbappe kama enzi zile tulikuwa tunacheza Chandimu eti tu kwa sababu striker ana mbio.
🤣🤣🤣🤣Kama ndugu zetu huku eee😀😀😀😀
Muda mfupi na si muda mchacheMuda mchache ujao, El Clasico inapigwa.
Ni Barcelona Vs Real Madrid katika mchezo muhimu wa La liga ambao utatoa picha ya mbio za ubingwa.
Ikumbukwe ni El Clasico ya mwisho kwa Carlo Ancelloti kabla ya ujio wa Xabi Alonso pale Real Madrid.
Ancelloti amefungwa mechi zote alizokutana na Barcelona huku pengo la point likiwa ni tofauti ya alama 4 huku ikibakia michezo minne tu kabla ya mechi ya leo.
Ungana nami kwa live updates…
==================
1’ Real Madrid wanaanza mpira kwa kasi
2’ Mbappe anafanyiwa faulo kwenye box, refa anasema penati
4’ Goaaaaaallllll Mbappe anafunga penati
5’ Barcelona 0-1 Real Madrid
7’ Real Madrid ni kama wanaitaka sana mechi ya leo
10’ Barcelona 0-1 Real Madrid
12’ Barca wameanza kuliandama lango la Real Madrid kama kawaida yao
14’ Mbappe anaweka goli la pili na kufanya ubao usome Barcelona 0-2 Real Madrid
15’ Lamine Yamal yuko chini
19’ Garcia anawapa goli 1 Barcelona
20’ Barcelona 1-2 Real Madrid
23’ Watoto wa Barcelona wamecharuka sasa
25’ Barcelona 1-2 Real Madrid
28’ Real Madrid wamepaki basi mapema sana, mchezo umetawaliwa na Barcelona
29’ Fade Valverde anapata kadi ya njano baada ya kumchezea madhambi Lamine Yamal
31’ Lamine anaisawazishia Barcelona na matokeo ni 2-3
34’ Raphinha anaitanguliza mbe Barcelona huku ubao ukisoma 3-2
36’ Tchouameni anapata kadi ya njano kwa kumchezea madhambi Ferran Torres
40’ Barcelona 3-2 Real Madrid
44’ Barcelona 4-2 Real Madrid
Mfungaji wa goli la nne ni Raphinha
😂 majirani hawanaga shughuli ndogoMzee Ancelloti anafanyiwa send-off ya kibabe hapa🤣🤣
Hawa barca ni simba watupu kabisa😬Kuna misimu kadhaa mbele RMA wakubali watakuwa vibonde wa Barça