Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
- Thread starter
- #61
Madrid wamekuwa wanyonge sana wangejua wasingeleta timu 🤣🤣🤣
Sio kosa lao hapo ni ubora wa Barça ndio unaamua. RMA uwezo wao ndio umeishia hapoMadrid ******* kweli
Mtapigwa nyingi kwa mtindo huoYes.
Tunapoteza mipira Mingi mno, Vinicious anacheza kama anaukimbia mpira ( Kama vile mpira ni wa moto ). Timu nzima inacheza kama inajihami.
Bado sijaona ile timu ya kina Sergio Ramos ya kupambana na Barca kwenye El Classico. Bado sana.
Madogo bado utoto mwingi.
Zisifike 7 tu au 8 Maana itakuwa aibu.Mtapigwa nyingi kwa mtindo huo
Wangefanya kama ile timu yenu ya msimbaziMadrid wamekuwa wanyonge sana wangejua wasingeleta timu 🤣🤣🤣
Derby kubwa, mechi muhimu ya kuisogeza karibu na ubingwa wa ligi wanakubali comeback kizembe sana.Timu inapigwa comeback toka 2-0?! Hii Madrid mandazi kabisa