Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,745
Acha tu, this time wanaoga 8 au kumiMzee Ancelloti anafanyiwa send-off ya kibabe hapa🤣🤣
Acha tu, this time wanaoga 8 au kumiMzee Ancelloti anafanyiwa send-off ya kibabe hapa🤣🤣
Sawa mwalimu wa kiswahili🙏🏾🙏🏾Muda mfupi na si muda mchache
Yeah kwa sababu bado Barça ina kikosi kizuri sanaMsimu huu tu kapigika vilivyo na msimu ujao naona mambo n yale yale
Siyo madrid tu,timu nyingi ulaya kasoro arsenalKuna misimu kadhaa mbele RMA wakubali watakuwa vibonde wa Barça
Uko sahihi kabisaaaKama HT ni 4 wanaweza kula 6 mpaka 7
Nguvu moja siyoHawa barca ni simba watupu kabisa😬
Nilikua nimelewa nikafikiri cr7 bado yupo Madrid ,kumbe ni vipiga nyeto tu.Unasema?
Pole sana mkuu ni maumivu makali msimu huu kwapa utanyanyua ukioga tu.Nilikua nimelewa nikafikiri cr7 bado yupo Madrid ,kumbe ni vipiga nyeto tu.
MSimu ujao yeye na city watamwaga sana pesaKuna misimu kadhaa mbele RMA wakubali watakuwa vibonde wa Barça
Anao umessi ndani yakeHuyu Lamine Yamal ni Messi mtupu.