FT: Barcelona 4-3 Real Madrid | Laliga | Estadio Olimpic Luis Companys | 11.05.2025

FT: Barcelona 4-3 Real Madrid | Laliga | Estadio Olimpic Luis Companys | 11.05.2025

Hapa leo mimi ni kama yoyote ashinde zote timu zangu sina mpinzani hapo ni home or away sitaki stress
 
Ramos,Benzema,Pepe,CR7,marcelo etc bila kusahau kocha zidane hawapo ni mwendo wa vipigo tu. Daah hii madrid ya sasa inatutesa fans wake sana. Modric kazeeka angestaafu tu kulinda kaheshima kalikobaki
Kabisa lilikua linapigwa pira la kibabe mno , ozil ,angel d Maria, higuain, arbeloa carsilas, cr7 etc🤔
 
Barca hata Ile mechi ya inter Milan walivyotanguliwa mbili Bado walikuwa kwenye utulivu mkubwa sana...sema bahati haikuwa kwao
Hakuna cha bahati haikuwa yao Barca walistahili kufungwa mechi zote mbili.
 
Madrid msimu huu kachapika vibaya mno na Barcelona, hapo bado half ya pili,akichapika na leo ni mara nne mfululizo ndani ya msimu mmoja.
Ushindi wa El Classico mfululizo!

1 Real Madrid - Mechi 7
22/04/1962 hadi 28/02/1965

2. Real Madrid - Mechi 5
01/03/2020 hadi 20/03/2022

3. Barcelona - Mechi 5
13/12/2008 hadi 29/11/2010
 
Back
Top Bottom