FT: Barcelona 4-3 Real Madrid | Laliga | Estadio Olimpic Luis Companys | 11.05.2025

Tunazungumzia ligi
Msimu jana ligi kachukua Madrid msimu huu Barca msimu ujao hautabiriki Madrid wanakuwa chini ya kocha mpya.

Halafu Barca ligi sio kitu tena kwao, UCL wanazo tano mwenzake 15 na mwaka jana tu kachukua huku Barca mara ya mwisho ni 2015 ifike muda Barca na mashabiki zake waache kupambana na Madrid kwenye ujinga wapambane na mabingwa wa ulaya.
 
Maana Barcelona ndani ya msimu huu pekee 24/25 akishinda na leo inakuwa mara ya nne mfululizo. Babu Lewandoski bado hajaingia.
Ngoja tuone! lakini El classico vipigo huwa ni mwendo wa kupokezana kwa misimu.
 
Chama langu Madrid Leo linapelekewa moto sana
20250511_180911.jpg
 
Msimu jana ligi kachukua Madrid msimu huu Barca msimu ujao hautabiriki Madrid wanakuwa chini ya kocha mpya.

Halafu Barca ligi sio kitu tena kwao, UCL wanazo tano mwenzake 15 na mwaka jana tu kachukua huku Barca mara ya mwisho ni 2015 ifike muda Barca na mashabiki zake waache kupambana na Madrid kwenye ujinga wapambane na mabingwa wa ulaya.
Hawaelewi hawa acha wakaze fuvu.
 
Pole naona huu msimu umekuumiza sana

Huyo kocha mpya naye ana kibarua cha kukijenga kikosi

Usidhani mambo ni rahisi hivyo
 
Msimu jana ligi kachukua Madrid msimu huu Barca msimu ujao hautabiriki Madrid wanakuwa chini ya kocha mpya.

Halafu Barca ligi sio kitu tena kwao, UCL wanazo tano mwenzake 15 na mwaka jana tu kachukua huku Barca mara ya mwisho ni 2015 ifike muda Barca na mashabiki zake waache kupambana na Madrid kwenye ujinga wapambane na mabingwa wa ulaya.
Hili timu la serikali (Real Madrid) usikute hiyo record waliyonayo huko nyuma ni ya kubebwa sana. Timu, vyama na taasisi za serikali siyo za kuziamini kwamba mafanikio yao yanatokana na juhudi zao pekee.

Na mimi kitu chochote kinachofungamana na serikali huwa sikipendi balaaa. E.g timu ya serikali, chama dola, mtandao wa simu wa serikali,n.k.
 
sijataja zote nitajaza server bure!
Basi wewe ni shabiki wa madrid maana nyingi ulizoorodhesha hapo ni zile ambazo madrid ndio alishinda, anyway leo barca akishinda basi msimu huu madrid anakuwa kapigwa mara nne mfululizo na barca, jumlisha na ya tano mwanzo wa msimu kwenye mechi yao ya kirafiki
 
Hili timu la serikali (Real Madrid) usikute hiyo record waliyonayo huko nyuma ni ya kubebwa sana. Timu, vyama na taasisi za serikali siyo za kuziamini kwamba mafanikio yao yanatokana na juhudi zao pekee.
Barca hana UCL toka 2015 Madrid toka 2015 mpaka sasa ana UCL 5 hii ni idadi ya makombe yote ya UCL ya Barca katika historia yake.

Umeanza kushabikia mpira mwaka gani ?
 
Back
Top Bottom