FT: Barcelona 4-3 Real Madrid | Laliga | Estadio Olimpic Luis Companys | 11.05.2025

FT: Barcelona 4-3 Real Madrid | Laliga | Estadio Olimpic Luis Companys | 11.05.2025

Ujinga ni nini ?

Ujinga ni kwamba Barcelona ambaye anapewa promo ya mchezaji bora na mashabiki wa hovyo wa Barca ni Yamal over Raphinha mashabiki wa Barca akili zao huwa wanaweka wapi ?
 
Stori za vijiwe vya digitali tu
Nope hizi ni tetesi tena kwenye site nyingi wamemzungunmzia, hata Saliba inasemekana Rudiger anapush sana asajiliwe na kishawahi kuongea.Alphonso Davies kabembelezwa na Bayern aongeze mkataba msimu huu kawachomolea.

Halafu kwenye mpira wa miguu tetesi kitu cha kawaida,kinaweza kufanikiwa au kisifanikiwe.
 
Mbape akitaka arejee kwenye ubora wake na kugombea Ballon Dor itamlazimu ahamie ligi ya EPL, huku kwa wahispaniola kuna vitoto vanapiga mpira hatari mpk vinampoteza.
Mbampe anacheza vibaya?
 
Back
Top Bottom