Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
- Thread starter
- #241
VAR checking…
Mbappe ni hatari anastahili utopscorer.Barcelona 4-3 Real Madrid
Yuko vizuri sana ila team inamuangushaMbappe ni hatari anastahili utopscorer.
Msisimko umeshuka, enzi Messi na Ronaldo walichangia sana kuipa msisimko. Na wachezaji Miaka ya nyuma akina Zidane na Dinho na wengine waliipa msisimkoInawezekana japo El Classico ya sasa haina msisimko huo mkubwa kama nyuma kidogo
Ile haiwezi kuwa penati, mkono ulikuwa kwenye nafasi yakeKwa hiyo ile sio Penalty ?
Kayoko mweupe.
Yeeeees yule Ricardo Quaresma.Yamal anapiga vibao hatari huyu ni mrithi wa Quaresma kwenye tu vibao
Japo sio mbaya sasa huku kuna Yamal, Pedri, Laphinha huku kuna Mbappe,Vin,Bellingham msisimko kwa mbali umeanza kuonekana especially wonders za bwana mdogo Yamal akiwa muendelezo mzuri atarudisha msisimko wa el classicoMsisimko umeshuka, enzi Messi na Ronaldo walichangia sana kuipa msisimko. Na wachezaji Miaka ya nyuma akina Zidane na Dinho na wengine waliipa msisimko
Kwa beki ya alexender trent anoldMsimu ujao tuone Xabi Alonso atakuja na jipya gani kwenye kuwakabili Barca na hasa ukizingatia kashasema atatumia mfumo wake 3-4-3