Muda mchache ujao, El Clasico inapigwa.
Ni Barcelona Vs Real Madrid katika mchezo muhimu wa La liga ambao utatoa picha ya mbio za ubingwa.
Ikumbukwe ni El Clasico ya mwisho kwa Carlo Ancelloti kabla ya ujio wa Xabi Alonso pale Real Madrid.
Ancelloti amefungwa mechi zote alizokutana na Barcelona huku pengo la point likiwa ni tofauti ya alama 4 huku ikibakia michezo minne tu kabla ya mechi ya leo.
Ungana nami kwa live updatesβ¦
==================
1β Real Madrid wanaanza mpira kwa kasi
2β Mbappe anafanyiwa faulo kwenye box, refa anasema penati
4β Goaaaaaallllll Mbappe anafunga penati
5β Barcelona 0-1 Real Madrid
7β Real Madrid ni kama wanaitaka sana mechi ya leo
10β Barcelona 0-1 Real Madrid
12β Barca wameanza kuliandama lango la Real Madrid kama kawaida yao
14β Mbappe anaweka goli la pili na kufanya ubao usome Barcelona 0-2 Real Madrid
15β Lamine Yamal yuko chini
19β Garcia anawapa goli 1 Barcelona
20β Barcelona 1-2 Real Madrid
23β Watoto wa Barcelona wamecharuka sasa
25β Barcelona 1-2 Real Madrid
28β Real Madrid wamepaki basi mapema sana, mchezo umetawaliwa na Barcelona
29β Fade Valverde anapata kadi ya njano baada ya kumchezea madhambi Lamine Yamal
31β Lamine anaisawazishia Barcelona na matokeo ni 2-2
34β Raphinha anaitanguliza mbe Barcelona huku ubao ukisoma 3-2
36β Tchouameni anapata kadi ya njano kwa kumchezea madhambi Ferran Torres
40β Barcelona 3-2 Real Madrid
44β Barcelona 4-2 Real Madrid
Mfungaji wa goli la nne ni Raphinha
45β Zinaongezwa dakika 6
45+5β Mbappe anafunga lakini goli linakataliwa kwakuwa alikuwa offside
HTβ Barcelona 4-2 Real Madrid
2nd half
50β Asescio wa Real Madrid anapewa kadi ya njano kwa mchezo usiokuwa wa kiungwana kwa Ferran Torres
52β Lamine Yamal anaaweka goli la 5 lakini inaonekana kwenye build up kulikuwa na offside ya Raphinha
53β Inago Martinez wa Barcelona anapewa kadi ya njano kwa mchezo usiokuwa wa kiungwana kwa Jude Bellingham
57β Christensen & Balde wanaingia kuchukua nafasi za Gerrard n& Cubarsi kwa upande wa Barcelona
63β Barcelona 4-2 Real Madrid
69β Mbapppeeeeeeeee anafunga goli la tatu, anapiga hat trick
Barcelona 4-3 Real Madrid
81β VAR inaamua hakuna penati baada ya mpira uliopigwa na mchezaji wa Barcelona kugonga mkono wa Tchouameni
90β Zinaongezwa dakika 6
90+5β Fermin anawapa Barcelona goal la 5 lakini goal linakataliwa kwakuwa aliunawa mpira
FTβ Barcelona 4-3 Real Madrid