Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Bayern kwenye uwanja wa nyumbani ni ngumu kumshinda. PSG wanahitaji kufanya kazi ya ziada waombe na bahati iwe upande wao. Fedha yangu naiweka kwa Bayern kamajana nilivyokuwa na uhakika wa Arsenal kushinda japo nilikuwa nimetabiri atashinda kwa goli kama mbili au tatu lakini ikawa goli 1 tu.Hii game ni 50/50
PSG pia sio mwepesi anakiwasha popote.Bayern kwenye uwanja wa nyumbani ni ngumu kumshinda. PSG wanahitaji kufanya kazi ya ziada waombe na bahati iwe upande wao. Fedha yangu naiweka kwa Bayern kamajana nilivyokuwa na uhakika wa Arsenal kushinda japo nilikuwa nimetabiri atashinda kwa goli kama mbili au tatu lakini ikawa goli 1 tu.
PSG ni mbovu tu usipagawe na upepo wa muda mfupiPSG pia sio mwepesi anakiwasha popote.
Najua sana. Ila kwa mawazo yangu, Bayern atashinda, tena confidently...PSG pia sio mwepesi anakiwasha popote.
Hakika, Arsenal waombee Bayern ishinde. La sivyo watakipata walichokipata msimu uliopita nusu finally na PSG.Tunamtaka Bayern, PSG wasumbufu sana.
Bayern wakipita, kombe lipo London.
Hakika. Mzigo utakua mgumu sana tukikutana na PSG.Hakika, Arsenal waombee Bayern ishinde. La sivyo watakipata walichokipata msimu uliopita nusu finally na PSG.
Kama PSG atapita hiyo Fainali Arsenal watakuwa wanacheza kwa kuvizia, kutafuta kona nyingi na setpieces. Gabriel atajiangusha angusha na kuamka baada ya dakika tatu.
Ila dogo mkaldayo hili gemu la leo sio la kukosa.PSG pia sio mwepesi anakiwasha popote.
Mkuu yule Psg ni noma amekamilika kila idara, yaani Psg amwache Bayern kwani anamjua.. Wale Bayern wakienda fainali wanaliwa vizuri tu na Arsenal... Bayern zaidi ya ile pacha ya Akina Harry Kane pale mbele hawana jipya...Tunamtaka Bayern, PSG wasumbufu sana.
Bayern wakipita, kombe lipo London.
Mkuu ila kumbuka kwenye mpira chochote kinabadilika. Hii gemu ninl ngumu kutabiri.Mkuu yule Psg ni noma amekamilika kila idara, yaani Psg amwache Bayern kwani anamjua.. Wale Bayern wakienda fainali wanaliwa vizuri tu na Arsenal... Bayern zaidi ya ile pacha ya Akina Harry Kane pale mbele hawana jipya...
Mechi ya leo Bayern hata akitoa draw atakua amejitahidi sana.
Tunamtaka Bayern, PSG wasumbufu sana.
Bayern wakipita, kombe lipo London.