FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

Simba ikishinda leo itakuwa imefuzu moja kwa moja. Pia Simba ikitokea kufungwa leo lakini Constantine ikashinda itaipa Simba urahisi kushinda.

Hiki kikokotoo kanipa Mdau wa Yanga japo nimemuambia sisi hatutumii calculator kwenye soka
 
🦁 kwa pamoja nguvu moja!
Wachezaji mcheze mpira wa utulivu, juhudi na maarifa na hatimae tuchukue alama tatu muhimu.
Mungu awatie wepesi na weledi wachezaji wa simba.
 
Simba leo anakaa: mkono ni chache. Akirudi Dar, anapigwa wiki na CS Constatino. Mchezo umeisha
 
Simba ikishinda leo itakuwa imefuzu moja kwa moja. Pia Simba ikitokea kufungwa leo lakini Constantine ikashinda itaipa Simba urahisi kushinda.

Hiki kikokotoo kanipa Mdau wa Yanga japo nimemuambia sisi hatutumii calculator kwenye soka
Mkuu usisahau kumrudishia..bado ana kazi nacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…